CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Aug 10, 2022 #1 Habari Kuna mbegu za cannola kila 27 na hizi zimesalia baada ya wadau kuchukua kilo 45. Sasa basi kama unahitaji wasiliana na mimi now na 1 kg 24, 000/ Kama una plan kulima kiasi chukua sasa kaaa nazo tu.
Habari Kuna mbegu za cannola kila 27 na hizi zimesalia baada ya wadau kuchukua kilo 45. Sasa basi kama unahitaji wasiliana na mimi now na 1 kg 24, 000/ Kama una plan kulima kiasi chukua sasa kaaa nazo tu.
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Aug 12, 2022 Thread starter #2 Zimechukuliwa zote na mdau mmoja wa Iringa hivyo hakuna tena, atakaye kuja kuhitaji sasa atafute kwingineko, make jamaa wamebakiwa na za kwao pekee.
Zimechukuliwa zote na mdau mmoja wa Iringa hivyo hakuna tena, atakaye kuja kuhitaji sasa atafute kwingineko, make jamaa wamebakiwa na za kwao pekee.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Aug 12, 2022 #3 Ni mbegu za nini mkuu. Hapo Mimi ni mgeni Sana.