Mbegu za giligiliani kwenye wali

Mbegu za giligiliani kwenye wali

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu

Nimepewa mbegu za giligiliani. Nimeambiwa naweza zitumia kama kiungo kwenye wali na nimejaribu kuziweka kama zilivo ila cha ajabu zimebaki na ugumu wake ule ule ingawa zinatafunika

Je, ni sahihi kuendelea kuzitumia?
 
Zinatumika kwenye viungo vya pilau, ila zikiwa peke yake ungia kwenye chakula cha mchuzi kama ndizi, viazi mviringo, nyama na samaki ila uzitwangwe Kwanza ziwe unga.
 
Back
Top Bottom