Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
NdioUkiweka Hiliki au Mdalasini kwenye wali hua unazitafuna pia???
Hua zinaiva yaan ukitafuna zinakua laini???Ndio
Basi na izo mbegu kula unachotafuta utakipata siku c nyingiNdio
Nimecheka Hadi kamasiBasi na izo mbegu kula unachotafuta utakipata siku c nyingi