Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
hiyo mbegu ya nyanya,unaweza kupanda kwenye eneo la wazi pia?
watermelon ni wazi pia au gh?
unatoa na utaalam au unauza mbegu tu?
Ya nyanya unalima kote wazi na gh ila ya tikit ni ya wazi tu
Hujajibu swali la pili
we unauza mbegu peke yake au mtu akitaka utaalam wa kulima
unatoa pia?
Mbegu 1000 zikiwa miche zinatosha ukubwa wa eneo kiasi gani.
Yes tunakupa mafunzo bure shamba lako liko wapi
mbegu 1000 zinauzwa zaidi ya laki moja???????! mmmmmmhh!!!?