Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 271
hakuna kitu kama hicho ila ni watu weupe kwa ubaguzi wao wamewakataa watoto waliozaliwa kutoka kwa ndugu zao weupe waliooana na weusi na kuwaita watoto wote wanaozaliwa kwenye kizazi chao blacks while in a real sense they are more white/colored than being black.
na ndio maana baada ya kubaguliwa na kuwekwa kwenye race ambayo wazungu wanaiona ni race ya chini sana hawa machotara wameamua kuanzisha utambulisho wao kwa vile na wao wanajiona wako juu ya weusi hivyo wameingia kwenye mtego wa ubaguzi.Correct mkuu, Hivi ukimcheck Obama, kiukweli is he white/colored au Black kama steven wassira au Pinda?
Correct mkuu, Hivi ukimcheck Obama, kiukweli is he white/colored au Black kama steven wassira au Pinda?
tatizo utafiti wako upo kihisia zaidi na sio kisayansi. Hao watoto ni machotara, basi hakuna zaidi. usituambie umesahau bilojia mapema hivi
Huo utafiti wako ni wa kizushi!Nna rafiki yangu mwenye mchanganyiko na ni mzungu zaidi mpaka hatambuliki haraka kwamba ana weusi mpaka amwambie mtu!Mwenyewe anapenda kuonekana/kutambulika kama mweusi ila watu hawauoni weusi wake!Na huo ni mfano mmoja tu..kuna mshkaji mwingine ukimwona hata huwezi kufikiria ni mchanganyiko!
siyo kihisia nina evidence hasa wanawake wamezaa na wazungu wametoa watoto full black na hakuna rangi ya uchotara
Sijasema kihisia nimesema kizushi!Leta huo ushahidi wako tuone...na statistic zisikosekane!
Nimefanya utafiti kwa watu na sehemu mbalimbali mwafrika au ngozi nyeusi akizaa na mzungu/ngoz nyeupe anazaliwa mtoto mweusi au mweupe lakini ngozi yake itabase sana kiarifca.
ikiwa mwanaume ni black akizaa na mzungu mwanamke = anatoka mtoto black
ikiwa mwanamke ni balak akizaa na mzungu mwanaume = anatoka mtoto black
katika hayo mawili sijakutana na mchanganyiko wa mzungu na mwafrika weusi akatokea mtoto mzungu inamaana kibiologia mbegu za ngozi nyeusi zina nguvu sana au damu ya kizungu ikikutana na ya black inamezwa!
wale wataalam watatujuza zaidi