Mbegu za kiume kutoka zikiwa zimeganda

Mbegu za kiume kutoka zikiwa zimeganda

CHIHAYA

Senior Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
102
Reaction score
25
Wadau na madaktari nisaidieni katika hili maana naweza kujiona niko normal kumbe ni abnormalities. Huwa ninatoa manii zikiwa nzito zimeganda wakati wa mechi na huwa zinatoka kwa speed ndogo kama makamasi tofauti na nionavyo kwenye mikanda ya pono. Je? Hii ni kawaida jamani?
 
hiyo ndo zilivyo, na inaelekea wewe siyo mkware sana, ukizilamba utazikuta ni tamu kama sukari kwa mbali. na siyo zenye ukakasi. samahani that is normal biology but docs cana add something
 
inakuwa nzito ivo hata baada ya bao la kwanza??
 
hiyo ndo zilivyo, na inaelekea wewe siyo mkware sana, ukizilamba utazikuta ni tamu kama sukari kwa mbali. na siyo zenye ukakasi. samahani that is normal biology but docs cana add something

Hahah..tamu kama sukari kwa mbali??mmh!
 
Hahah..tamu kama sukari kwa mbali??mmh!

Phina huamni? basi jaribu kuzionja kidogo tena mwambie shem msidoo kwa mwez hivi halafu siku ya mechi lamba koni utazifeel
 
Phina huamni? basi jaribu kuzionja kidogo tena mwambie shem msidoo kwa mwez hivi halafu siku ya mechi lamba koni utazifeel

Hahahah..you are nasty!!in a good way lakini🙂
Ntajaribu mwaya-feedback lazima ntakupa
 
Hahahah..you are nasty!!in a good way lakini🙂
Ntajaribu mwaya-feedback lazima ntakupa

its good to have adventure bwana hasa kwenye love making should i tell you this, wanaume huwa kama ukizipata tamu ukamsifia ni tamu na ukamwambia ni kwanini zimekuwa tamu believe me hatazimwaga tena nje ili kila mkiwa kwenye game uzikute tamu.
 
Ningekuwa kwenye PC ningekugongea bonge la like!two thumbs up
 
Nijuavyo mie ni kawaida especialy first goal..
 
Shemeji anafaidi kweli marahaaaaaaaaaa ya kulambwa koniiiiii.

Hiyo ndio kazi iliyonitoa kwetu enzi hizo. si unajua. sasa hapa siwez kukumwagia yote atanisoma manake naye ni member humu na id yangu anaijua.
 
Ningekuwa kwenye PC ningekugongea bonge la like!two thumbs up

pamoja sana best, but you know what sasa ni wakati wa kuhakikisha kuwa tunalea ndoa zetu manake maisha ya kulea watoto single parented siyoo poa kwa hiyo ubunifu wa kila aina unahitajika ili tuwakeep. Sikufichi mimi huwa sipimi nahakikisha nakaba hadi penalt na kuchoka achoke yeye na siyo mimi.
 
Hiyo ndio kazi iliyonitoa kwetu enzi hizo. si unajua. sasa hapa siwez kukumwagia yote atanisoma manake naye ni member humu na id yangu anaijua.

Haaaaaaaaaaaaa wera weraaaaaaaaaaaaa Twende Inbox nipate mautamuuuu ya kitangaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Haaaaaaaaaaaaa wera weraaaaaaaaaaaaa Twende Inbox nipate mautamuuuu ya kitangaaaaaaaaaaaaaaa!

umeoa lakini nisije nikakupa maujanja kumbe unabaka watoto wa shule tena mchana jua likiwa linawaka
 
mjadala nimeupenda sana, endelee kuwafunza dada zetu
 
Back
Top Bottom