Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Wale wanaume waliojaaliwa afya njema waoe wake wengi!Takwimu zinaonyesha wanaume wanao left group ni wengi kila uchao!
Takwimu zinaonyesha wenye kisukari[jogoo hawiki ] ni mamilioni.
Takwimu zinaonyesha wenye mapenzi ya jinsia moja ni wengi, wao in Back side tu ,
Watoto wetu wa kike wataolew na nani jamani?View attachment 3689114
Halafu serikali itoe ruzuku au inakuwaje hapa...?Wale wanaume wakiojaaliwa afya njema waoe wake wengi!
Si kila Mwanaume anaqualify kuwa Mume!Takwimu zinaonyesha wanaume wanao left group ni wengi kila uchao!
Takwimu zinaonyesha wenye kisukari[jogoo hawiki ] ni mamilioni.
Takwimu zinaonyesha wenye mapenzi ya jinsia moja ni wengi, wao in Back side tu ,
Watoto wetu wa kike wataolew na nani jamani?View attachment 3689114
Piga zoeziDahhh Sasa itakuaje
Kirahisi hivyo vuta picha kwa baba,mjomba,kaka,wanao ! Then apply huo msemoSi kila Mwanaume anaqualify kuwa Mume!
Tatizo wanawake ombaomba sana. Ukigusa tuu unakuta Hana chochote hata hela ya Kula, gesi, Kodi, simu, Bibi mgonjwa! Sasa hao wengi tutaoaje?Wale wanaume wakiojaaliwa afya njema waoe wake wengi!
Ni janga hili ! Ohoo fanya utaniHalafu serikali itoe ruzuku au inakuwaje hapa...?
Ndio watakuwa wanajimalizaWale wanaume wakiojaaliwa afya njema waoe wake wengi!
SHERIA ZA KIANITHI ZA UBAKAJI NA ZA KIJINSIA NDIYO SABABU KUU ZA YA TULIPO NA TUNAPO ELEKEA....Mvulana yoyote akichelewa kuanza sex ndivyo anavyo poteza nguvu za kiume ...uwezi kuanza sex na miaka 24 au miaka 28 na ukawa sawa ...Takwimu zinaonyesha wanaume wanao left group ni wengi kila uchao!
Takwimu zinaonyesha wenye kisukari[jogoo hawiki ] ni mamilioni.
Takwimu zinaonyesha wenye mapenzi ya jinsia moja ni wengi, wao in Back side tu ,
Watoto wetu wa kike wataolew na nani jamani?View attachment 3689114
ThibitishaSHERIA ZA KIANITHI ZA UBAKAJI NA ZA KIJINSIA NDIYO SABABU KUU ZA YA TULIPO NA TUNAPO ELEKEA....Mvulana yoyote akichelewa kuanza sex ndivyo anavyo poteza nguvu za kiume ...uwezi kuanza sex na miaka 24 au miaka 28 na ukawa sawa ...
Niu-apply mara ngapi?. Wewe unayedoubt ndiye ujipe muda kuchunguza kama kila Mwanaume anafaa kuwa Mume wa mtu au la. Likewise si kila Mwanamke anafaa kuwa Mke!Kirahisi hivyo vuta picha kwa baba,mjomba,kaka,wanao ! Then apply huo msemo
Sio kweliSHERIA ZA KIANITHI ZA UBAKAJI NA ZA KIJINSIA NDIYO SABABU KUU ZA YA TULIPO NA TUNAPO ELEKEA....Mvulana yoyote akichelewa kuanza sex ndivyo anavyo poteza nguvu za kiume ...uwezi kuanza sex na miaka 24 au miaka 28 na ukawa sawa ...
Tusisubiri, kuzaliana ndiko kunawezesha kuwa na taifa, tuchukue hatua.Wacha inyeshe tuone panapovuja
ok.🐒Takwimu zinaonyesha wanaume wanao left group ni wengi kila uchao!
Takwimu zinaonyesha wenye kisukari[jogoo hawiki ] ni mamilioni.
Takwimu zinaonyesha wenye mapenzi ya jinsia moja ni wengi, wao in Back side tu ,
Watoto wetu wa kike wataolew na nani jamani?View attachment 3689114
Mume wangu ameanza na miaka 36 na mpaka sasa tuna ndoa ya miaka 25 na yupo safi kabisa.SHERIA ZA KIANITHI ZA UBAKAJI NA ZA KIJINSIA NDIYO SABABU KUU ZA YA TULIPO NA TUNAPO ELEKEA....Mvulana yoyote akichelewa kuanza sex ndivyo anavyo poteza nguvu za kiume ...uwezi kuanza sex na miaka 24 au miaka 28 na ukawa sawa ...
Una kisukari haudindishi tena unaafanyaje sasa km sio kuhamia upande wa pili unaacha kulinda mgongo unawapa wana wajipakulie ndio hapo unapoona idadi ya kuleft inaongezeka, issue sio kuolewa maana kuolewa wanaweza wakaolewa hata na hao wenye kishuga shida inakuja kwenye kugongwa ungeuliza watoto wako wa kikeWatoto wetu wa kike wataolew na nani jamani?