Nguchiro JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 364 Reaction score 31 Jul 17, 2011 #1 Hivi hizi mbegu zinazalishwa kwa kula vyakula gani?
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,005 Reaction score 20,425 Jul 17, 2011 #2 Nguchiro said: Hivi hizi mbegu zinazalishwa kwa kula vyakula gani? Click to expand... Kabla sijakujibu kisayans naomba kujua jinsia yako hata kwa kuni PM kisha nikushushie shule yamaana ambayo bila jf usingeipata kamwe!
Nguchiro said: Hivi hizi mbegu zinazalishwa kwa kula vyakula gani? Click to expand... Kabla sijakujibu kisayans naomba kujua jinsia yako hata kwa kuni PM kisha nikushushie shule yamaana ambayo bila jf usingeipata kamwe!
rakeyescarl JF-Expert Member Joined Dec 9, 2007 Posts 481 Reaction score 147 Jul 17, 2011 #3 Mh.Nguchiro na mimi naiomba elimu hiyo adimu-jinsia kaka. afyaindia@yahoo.com
Mawenzi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,251 Reaction score 347 Jul 17, 2011 #4 ballanced diet na mazagazaga kibao!! Lol
S sir echa Member Joined May 28, 2010 Posts 85 Reaction score 3 Jul 17, 2011 #5 i think that's naturally given by God!muhimu kuepuka mavyakula yenye mafuta mengi na hasa haya mavyakula ya kwenye makopo ya kusindikwa.
i think that's naturally given by God!muhimu kuepuka mavyakula yenye mafuta mengi na hasa haya mavyakula ya kwenye makopo ya kusindikwa.