Mbegu za maboga zenye rangi ya kijani

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,143
Reaction score
1,729
Nimeona wauzaji wa mbegu kwa ajili ya chakula wakiuza hizi mbegu za maboga zenye rangi ya kijani zinazotoka India. Hizi mbegu wameziachakata hivyo hazifai kuotesha

Nani anajua wapi zinapatikana zinazofaa kuotesha. Soko lake baada ya mavuno liko vip, mje mtupe ABC
 
Kuna sehemu nanunua zenye rangi nyeusi (?dark?)
Hizo za Kijani sijawahi kuziona. Zina faida Gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…