INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

ntakisigae

Senior Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
186
Reaction score
66
Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo.
Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako.
Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo.
Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na inamea kwenywe ardhi yoyote.
Msimu wa mvua za vuli umekaribia kwa ukanda wa pwani na Dar es Salaam.
Weka oda yako sasa! Napatikana Mkuranga,Pwani.

Mawasiliano:0685381338
 

Attachments

  • 25B47564-43CA-4062-8E85-77E1C2EE5B6F.jpeg
    25B47564-43CA-4062-8E85-77E1C2EE5B6F.jpeg
    1.2 MB · Views: 17
  • E1F5CC3B-9DE6-47F2-9853-8E52AE671991.jpeg
    E1F5CC3B-9DE6-47F2-9853-8E52AE671991.jpeg
    1.1 MB · Views: 14
  • BE6FD4AF-528A-471C-BD67-DEDCF796FFC4.jpeg
    BE6FD4AF-528A-471C-BD67-DEDCF796FFC4.jpeg
    1.1 MB · Views: 20
Bei ndugu yangu nikija kwenye mawasiliano ni kumaliza biashara
 
Back
Top Bottom