Mbegu za malisho Lucerne, Boma Rhode, Masai Love Grass na Brachairia Grass

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Ntakati hizi bila kuwekeza kwenye nalisho ni hasara, Kwa wafugaji wa Ng'ombe, Mbuzi, Nguruwe, kondooo, farasi, na hata kuku, ni wakati wa kuotesha majani yako kama una shamba, nyakati hizi malisho ni changamoto sana hivyo kama una shamba otesha majani.

Majani kama Lucerne unaweza vuna hata mara 6 kwa mwaka make unakata inachipua na ukipata maji ndio utavuna hadi uchoke.

Lucerne inatumiwa na mifugo yote hadi nguruwe, kuku na Sungura.Ukihitaji mbegu za haya majani tajwa hapo nicheki. Mbegu tunazo Arusha.


BEI

MBEGU ZA MALISHO


1. Lucerne- 90, 000/@kg

2.Boma Rhode- 60, 000/@kg

3) Masai Love grass seeds(Eragrostis superba )

6) Brachairia Grass seeds-150, 000/@kg

 
Unaweza vuna tani hadi 15 kwa mwaka, kwa kika hekari 1, kumbuka unavuna mara nne hadi tano kwa mwaka, ila kama unafanya commercialy basi production ni kubwa zaidi ya hapo inaenda hadi tani 17 kwa mwaka
Niko Butiama mara, nitazipataje hizi mbegu na mnaziuzaje?
 
Mbegu ipi ya Ng'ombe ni bora kwenye ufugaji kwa ajili ya nyama
 

Lengo lako sio kuwasaidia bali kuwa vuna wafugaji.
 
Najua upo Arusha mkuu
Weka mawasiliano nikuchek
 
Lengo lako sio kuwasaidia bali kuwa vuna wafugaji.
Kama uko Arusha nenda Kibo seeds uliza bei mfano ya Lucerne kilo 1, au google number zao uwapigie, Hizo mbegu ni ziko Parked, sio za kuokota mtaani,
 
Lengo lako sio kuwasaidia bali kuwa vuna wafugaji.
Kuwasaidia kama NGOs au kama Serikali?; hizo ni mbegu na ni certfied na ziko Parcked kabisa, Lucerne Kibo seeds wanauza 120, 000/ kilo 1 hapo nauza 90, 000/ unataka vipi? Wanao hitaji walisha Pm biashara isha isha, na kumbuka hizo mbegu ni endelevu huwezi teba kuja kununua mbegu maisha yako yote bali utapata kutokana na majani ulio otesha
 
Acha hayo mawazo wafugaji huteseka na malisho na hawajui wap wapate nyasi Bora kwahiyo ni safii kabisa
Kuna watu ni wajinga humu, hizo mbegu ukiwapigia Kibo seeds hizo bei watakazo taja itakimbia, hajui bei halisi ana toa povu tu humu.

Na hizo mbegu ni biashara kwa baadae unaweza kuwa unalima unavuna unauza mbegu, na hizi mbegu tunazo uza ni cerfied ziko Packed kwenye makopo sio za mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…