CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Feb 25, 2023 Thread starter #21 jiwe angavu said: Hizo bei ni max profit,jamaa anataka kuwavuna. Click to expand... Kwanza hizo mbegu zingine tuna import huwezi zipata Tanzania, walio nazo kama Kibo seeds wanauza bei za kutisha, Acha ujinga
jiwe angavu said: Hizo bei ni max profit,jamaa anataka kuwavuna. Click to expand... Kwanza hizo mbegu zingine tuna import huwezi zipata Tanzania, walio nazo kama Kibo seeds wanauza bei za kutisha, Acha ujinga
MURUSI JF-Expert Member Joined Jun 25, 2013 Posts 4,537 Reaction score 8,824 Feb 25, 2023 #22 jiwe angavu said: Lengo lako sio kuwasaidia bali kuwa vuna wafugaji. Click to expand... Tehe tehe awasaidie anakusanya kodi? Bado uko kwenye usingizi wa ujamaa? hii ni biashara weka bei nafuu na wewe ndio mfumo wa ubepari ulivyo
jiwe angavu said: Lengo lako sio kuwasaidia bali kuwa vuna wafugaji. Click to expand... Tehe tehe awasaidie anakusanya kodi? Bado uko kwenye usingizi wa ujamaa? hii ni biashara weka bei nafuu na wewe ndio mfumo wa ubepari ulivyo
mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,054 Reaction score 585 Mar 4, 2023 #23 Kwa ukanda wakati unashauri mbegu gani hapo
mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,054 Reaction score 585 Mar 18, 2023 #24 π΅πππππππ π³ππππππ 1 ππ