jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,089 Reaction score 424 Sep 26, 2013 #1 Samahan kwa usumbufu ila wapi wanauza mbegu za mananasi na bei yake ikoje?
S Stoudemire JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 839 Reaction score 207 Sep 27, 2013 #2 jashmoe32 said: Samahan kwa usumbufu ila wapi wanauza mbegu za mananasi na bei yake ikoje? Click to expand... Wewe upo sehemu gani? Pale Kiwangwa Bagamoyo mbegu moja kununua hadi inapandwa shambani ni sh 70
jashmoe32 said: Samahan kwa usumbufu ila wapi wanauza mbegu za mananasi na bei yake ikoje? Click to expand... Wewe upo sehemu gani? Pale Kiwangwa Bagamoyo mbegu moja kununua hadi inapandwa shambani ni sh 70
DullyM Member Joined Mar 24, 2011 Posts 72 Reaction score 18 Oct 1, 2013 #3 wakuu hivi hayo mashamba ya mananasi huko bagamoyo bado yapo( I mean yale yanayomilikiwa na wenyeji) ama wenyeji washauza yote ??
wakuu hivi hayo mashamba ya mananasi huko bagamoyo bado yapo( I mean yale yanayomilikiwa na wenyeji) ama wenyeji washauza yote ??
Pilato2006 Senior Member Joined Aug 25, 2008 Posts 124 Reaction score 37 Oct 2, 2013 #4 NJoo Bagamoyo Kiwangwa. ni PM au au Email pilato_tony@yahoo.com