Mbegu za Mboga Mboga - Msimu ndIo huu

Mbegu za Mboga Mboga - Msimu ndIo huu

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
191
Reaction score
129
Habari!

Mkulima Mwerevu Agrovet inawatangazia wakulima wote wa mboga mboga kuwa sasa wanazo mbegu nzuri za kisasa (Hybrid Seed) kwa ajili ya wakulima.

Msimu wa kuandaa mashamba ndo huu, usichelewe!

1. Mbegu za Nyanya, Assila F1
2. Mbegu za cabbage victoria
3. Mbegu za Vitunguu

Ushauri bure:
Wasiliana na Mkulima Mwerevu Agrovet kwa namba ya simu +255745626241 au kwa email: mkulima.mwerevu@outlook.com

"Mkulima Mwerevu, Tunalisha taifa"
 
Back
Top Bottom