Mbegu za mchicha mweupe: Naombeni ushauri au kwa yoyote anayeweza kunipatia mteja au connection ya kuuza zao hili

Mbegu za mchicha mweupe: Naombeni ushauri au kwa yoyote anayeweza kunipatia mteja au connection ya kuuza zao hili

miamia100

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
416
Reaction score
479
Habarini wakuu na poleni kwa majukumu ya kazi.

Kijana wenu niliingia shambani na kuzalisha mbegu za mchicha mweupe superlishe ila changamoto imekuja kwenye soko la bidhaa hii toka soko kuu la Kariakoo lilipopata maswaibu ya kuungua.

Naombeni ushauri au kwa yoyote anayeweza kunipatia mteja au connection ya kuuza zao hili, nina kilo zipatazo 200 wakuu.

Namba zangu kwa ajili ya mawasiliano ni 0734726595.

Karibuni wakuu kwa ushauri na mengine ya kujenga.
 
Back
Top Bottom