phelister lugakila
New Member
- May 5, 2017
- 4
- 2
Habari wakuu, na kitalu Cha mbegu ya miti aina ya mitiki lugoba, nmepanda shambani kwangu imetoshelea, sasa kitalu bado kina miti mingi hivo karbuni sana mwenye kuhitaji kwa bei nzuri kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu, na kitalu Cha mbegu ya miti aina ya mitiki lugoba, nmepanda shambani kwangu imetoshelea, sasa kitalu bado kina miti mingi hivo karbuni sana mwenye kuhitaji kwa bei nzuri kabisa
Hivi ni ipi yenye thamani kati ya aina hizo mbili?Ni brown au white??,
WhiteHivi ni ipi yenye thamani kati ya aina hizo mbili?
Naomba msaada..je nikweli ukiwa na shamba la mitiki ni rahisi kwenda benki kukopa fedha.Inapatikana pwani mbele ya chalinze sehem inaitwa lugoba
Miti ya aina yoyote tu unakopea benki ni ishu ya kuwa na vielelezo tuNaomba msaada..je nikweli ukiwa na shamba la mitiki ni rahisi kwenda benki kukopa fedha.
#MaendeleoHayanaChama
Hapana huwezi kopeshwa miaka miwili nimejaribu kwenye mabank tofautiNaomba msaada..je nikweli ukiwa na shamba la mitiki ni rahisi kwenda benki kukopa fedha.
#MaendeleoHayanaChama