S sele255 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 205 Reaction score 262 Dec 9, 2018 #1 Kwa wale wanaohitaji mbegu za nyanya ambazo sio hybrid (F1) yaani za kawaida, zinapatikana sasa. Bei ni tsh.10000 kwa mbegu nzima 1000. Sehemu ni pugu/kigogo fresh Kwa wanaohitaji njoo inbox kwa mawasiliano zaidi
Kwa wale wanaohitaji mbegu za nyanya ambazo sio hybrid (F1) yaani za kawaida, zinapatikana sasa. Bei ni tsh.10000 kwa mbegu nzima 1000. Sehemu ni pugu/kigogo fresh Kwa wanaohitaji njoo inbox kwa mawasiliano zaidi
Emmanuel TM Member Joined Sep 25, 2017 Posts 67 Reaction score 88 Dec 13, 2018 #2 Mbegu za kawaida ni 8000tuh acha kutupanga sasa