Mbegu za papai zina madhara?

Mbegu za papai zina madhara?

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,666
Reaction score
12,178
nilikuwa nakula papai nikajaribu kutafuna mbegu zake, aisee zinawasha hizoo, sijajua kama zina madhara au la!, kwa wenye ufaham naomba wanijuze.
Nawasilisha.
 
Wacha uoga mbegu za papai zina madhara kwa minyoo..kwa hiyo kula kwa wingi usipate minyoo
 
Back
Top Bottom