Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Oct 19, 2014 #1 nilikuwa nakula papai nikajaribu kutafuna mbegu zake, aisee zinawasha hizoo, sijajua kama zina madhara au la!, kwa wenye ufaham naomba wanijuze. Nawasilisha.
nilikuwa nakula papai nikajaribu kutafuna mbegu zake, aisee zinawasha hizoo, sijajua kama zina madhara au la!, kwa wenye ufaham naomba wanijuze. Nawasilisha.
Smokey D JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 2,632 Reaction score 2,108 Oct 19, 2014 #2 Wacha uoga mbegu za papai zina madhara kwa minyoo..kwa hiyo kula kwa wingi usipate minyoo
N ngundusi kwetu Member Joined Oct 8, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Oct 20, 2014 #3 DUUU!kaka hukula papai muda mrefu nini?mpaka mbegu!ila usijari hazina madhara.