Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AFRICAN POWERDah nimekumbuka mbali sana hili zao, ni aina ya alzeti ya miba, Mafuta yake yana quality kuliko mafuta ya alizeti.Na pia ukiotesha shambani hii kitu hakuna tembo anaingia, Tembo wanaigopa balaa hio miba.
Kuhusu Mbegu, Wilaya ya Hanangi unaweza pata na kuna part of Dodoma pia ilikuwa inalimwa sana sijui now day, Arusha pia kuna shamba moja niliiona ila ni Wazingu wale.
Kwa Uhakika Kabisa Fika Namwai, West Kilimanjaro Utapata MaanaInaitwa Katamu kwa jina la kiswahili
Ina ugumu ndio maana hailimwi sana, ina kazi pevu kwenye kuvuna, ina miiba sanaUkiangalia google ni kama Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 duniani zinazozalisha hili zao la safflower lakini bi kama sisi wenyewe include mimi hatulifahamu, lakini kwa maoni ya wadau hapo juu ni kama mashamba mengi ni ya foreigners. Naombeni mwenye yuko na update na hii kitu atuelekeze pengine inaweza saidia msimu huu wa kilimo angalau watu wapate aftatu jamani[emoji85]
Duuu, kwani hao wazungu na wahindi wanavuna na nini jamani. Bcoz mpaka tupo top ten inawezekana wanapiga hela vzr tuuIna ugumu ndio maana hailimwi sana, ina kazi pevu kwenye kuvuna, ina miiba sana
nenda west kilimanjaro zipo, nipe tenda nikutafutie
Ahsante boss. Ivi debe moja nitapata kwa shilingi ngapnenda west kilimanjaro zipo, nipe tenda nikutafutie
Kama ukihitaji me ninazo za kutosha
Hello Wana JF
Naombeni msaada wa ushauri, mawazo au maelekezo wa mahali au wauzaji wa mbegu za Safflower kwa hapa Tanzania
N:B
Soko kuu la Kariakoo( Nimetafuta bila mafanikio)