Mda ume kwenda sana tangu ni some hii kitu ila nita jitahidi kuandka vile ninavyo vikumbuka kuhusu spermatozoa.
Ili kuweza ku determine ubora wa sperm ni lazma uangalie vitu vichache kwa macho uzito au wepes sidhani kama ni sababu.
Rangi ya sperm ambazo ziko sawa inatakiwa iwe grey- operlescent...( kama kijivu au isiyo na rangi) rangi iki pungua zaidi ya hapo ita maanisha kuwa una low sperm count. Au zikiwa za njano ita maanisha mtu ana ugonjwa wa manjano au issue za vitamini.
Liquefuction : hichi ni kitu kingine chaku angalia ili kuji ridhisha kama sperm zako ziko poa. Kwa kawaida uki zimwaga mbegu huwa zinakuwa nzito nzito au kama zina nata nata.. hali hii inatakiwa idumu kwa mda usio zidi dakika 45 ziwe zme badlika kutokea kwnye mlenda mlenda ad kuwa maji yasiyo vutika. Kama ikiendlea vtika baada ya dakika 5 ita maanisha una tatizo kweny mbegu zako.
Viscosity: hapa sperm za mwanaume zinatakiwa uki ivuta either kwa kidole au kitu chochote isi vutike zaizi ya 2cm iki vutika zaidi ya hapo ita maanisha una tatizo kwnye mbegu zako...ahaa wazee wa rula.
PH: pia unaweza pima ph ya sperm zako kwaku tumia litms pepar kwa kawaida zinatakiwa ziwe kwenye 7-8 kama sja sahau. Zikiwa acidity ni tatizo zikiwa pia na hali ya base pia ni tatizo.
Ivyo ni vitu vyaku angalia mwenyeww nyumbani kabla huja hamua kuchukua jukumu yaku zleta hosptal.
Kwa hosptal huwa tuna angalia concentration, motility, morphology.
Morphology: kwa sperm ambayo iko normal inatakiwa iwe na kichwa, mwili, na mkia. Sasa watu wengi wasiyo na uwezo waku zalisha shida ndo huanzia hapa.. una kuta mtu sperm zake hazina mkia.. au hazina kichwa au zina mikia 2 au zina vichwa 2. Sperm kama hizi haziweza kuzalisha.
Concentration: sperm ziku hesabiwa kwa microscope zina takiwa ziwe milions/ mls less zaidi ya hapi ndo una ambiwa una mbegu kidogo. Ipo formolar yaku caluculate.
Mortility: sperm zilizo sawa huwa zinatakiwa ziwe na mwendo wa risasi. Sasa unakuta wengi wenye uwezo wakuto zalisha sperm zao zinakuwa hazina mwendo mkali, au zna mwendo wa pole pole, au zngine hazi tembei kabsa znakuwa zme kufa kiwandani...
Iv ni kwa mujbu wa ninavyo vikumbuka. Mwngne anaweza ongezea au kuni kosoa.