Mbeki agrees to resign - Democracy at work

Bishop Tutu is making a strong point here

 

Hivi ni kweli Waafrica tumelogwa au ni mzungu anatuzunguka na kutuchezea akili? It is very sad that South Africans are now going to prove that Apartheid was better! Because the government under black leaders is not doing any good for the development of South Africa, instead they are engaging into unnecessary hatred among themselves!!!

Wakati wa mkoloni Bongo kulikuwa na barabara za lami mpaka Magomeni na Kurasini Beach, kulikuwa na automatic postage stamps machines, kulikuwa na usafiri mzuri wa kijamii (public transport). Ama hakika sasa naamini mkololoni aliondoka Afica baada ya kufanya "cost benefit analysis na kugundua kwamba kuendelea kutawala Afica directly was more expensive than ruling them indirecly through doctoring their mindsets, controlling their economy etc.
 
In order to maintain the country and Stability ANC has Ask Thabo to Resign subject to Parliamentary proceeding, Je CCM wanaweza Fanya Hivyo?

hivi na kikwete naye anaweza kweli kukubali kujiuzulu kwani naye hakuna tofauti na anacho kifanya
 
Mbeki 'has strong chance of success'

Professor Marinus Wiechers, former law professor at Unisa and an expert on the constitution, thinks Mbeki has a "very strong chance" of success.

"I was astounded when I heard Judge Nicholson make his statements on Mbeki and the executive. That was not the legal issue he was required to rule on. I thought he should have let it go.

"One thing is certain: Mbeki's appeal is proving wrong all those who thought he had gone quietly, as Sunday night's dignified speech on TV could have indicated.

"On the contrary, he is clearly ready for battle, and upon close examination, Monday's appeal is nothing other than a veiled warning to Zuma that the Mbeki-Zuma fight is far from over."

Professor Tom Coetzee, former law professor at North West University's Potchefstroom campus, said he considered Nicholson's statements on political meddling in the Zuma prosecution as "neither relevant, nor fair".

"I was astonished. The Constitutional Court's ruling will be groundbreaking. Mbeki is taking the right route. No one should underestimate his intelligence."


Ile statement ya Mbeki wakati anabwaga manyanga ilikuwa makini, yenye kuonya. Now here he comes.
 
Mawaziri 11 tayari wameshabwaga manyanga ikiwa ni pamoja na makamu wa Rais, Zuma asipokuwa makini chama cha ANC kitasambaratika akiendelea na sera zake za kulipa kisasi.
 
...zuma anachukuliwa kama mtu wa mzaha mzaha....sasa naaza kujiuliza motive ya ziara ya zuma kuzungukia nchi zote jiran[former frontline countries]amid hichi kikao cha nec kilichomtupa mbeki...inaelekea ajenda ya zuma kutumia kikao cha nec kukomoa mbeki ..ilipangwa ikapangika..it was like a coup.....mbeki ws cought unprepared.....

hata statement contravertial ya jaji inaonekana ulikuwa mpangi....na sijui rufani ya mbeki itakuwaaje.........?

lakini pia kuna uwezekano mkubwa wa motlanthe ..ku outsmart zumma....na anaweza kabisa nayeye kuamua kugombea urais wa southafrica..na kumuacha zuma haamini..

zuma amekosa subra..option nzuri ya yeye kuwa rais ingekuwa kuvumialia miezi hii michache mbeki astaafu..ambako obvious yeye ndio angefuatia..lakini kwa sasa hali ninayoiona ni tete na wafuasi wa mbeki na sympethisers wartaongezeka...na they may throw weight behind motlanthe..hasa baada ya kuonekana wazi statement za watu kama tutu..na ukimya wa mandela ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…