Mbele kuna Giza nene, Kulia na kusaga Meno

Waangalie Bibi au Babu zako utagundua huko mbele kuna hatari kubwa inatujia.
Kama huna Babu au Bibi zako basi angalia hata za marafiki au jirani zako.

Ukikaa nao utaelewa maisha haya yanahitaji Mungu akupe mwisho mwema
Baba yangu ana miaka 94.
Watoto tupo 9 lakini kumtunza............... Mmh!

Nina uzoefu wa wazazi kadhaa waliozaa na wakatimiza wajibu wao kwao na wakiwa na mali ambayo imewasaidia sana watoto hao lakini wamekuwa na uzee mgumu.
Wengine wawili hawakuzaa lakini walimaliza vema sana kwa kuwa watu walijitokeza kuwatunza.
Hata kama waliowatunza waliangalia mali zao lakini walitunzwa.
Waliozaa wakiwa na mali hawakupata bahati ya kutunzwa.

Hata atakayebahatika kupelekwa kwenye nyumba ya wazee amshukuru Mungu.

Giza ni nene sana.
 

Ndio maana nikamuambia mchangiaji mmoja hapo juu kuwa unaweza unatafuta pesa ukapata na bado uzeeni ukahenyeka zaidi kuliko ambaye anapesa za kawaida.

Upendo na kujali ni kitu muhimu katika maisha.
 
Ulimwengu wa SAsa ni giza tele. Utu umetoweka thamani ya mtu upimwa kwa pesa yake.
 
Millennium Generation ya kuanzia 2000 hadi SAsa na kuendelea, imeuza nafsi yake kwa shetani inatimiza unabii.
1.Heshima na utii ni ushamba
2.Kutongoza ni ushamba
3.Watu wamekuwa wabinafsi KILA mtu atajijua mwenyewe.
4.Nyumba za ibada ni kichaka.
5.Roho ya ushoga uzinzi imeachiliwa.
6.Ndoa ni meeting point tu na sio kizuizi cha watu kuendelea na yao ya kale.
 
Tanzania ni Taifa la Wapigaji Raia Wapigaji Mashehe wapigaji Wachungaji wapigaji WANASIASA NDIO USISEME.

Leo nimekuta Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi kafumania anapigiwa Mkewe Gesti nikajisemea Rohoni Mzee RUKHSA alitufundisha hata CHURA Rukhsa.
 
Hii thread imenigusa sana,Mungu atufanyie wepesi huko tuendako
 
Tanzania ni Taifa la Wapigaji Raia Wapigaji Mashehe wapigaji Wachungaji wapigaji WANASIASA NDIO USISEME.

Leo nimekuta Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi kafumania anapigiwa Mkewe Gesti nikajisemea Rohoni Mzee RUKHSA alitufundisha hata CHURA Rukhsa.

Noma Sana Mkuu
 
Usitishwe na Giza,

Ni suala la muda tu, KUTAPAMBAZUKA.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri.

Tanzania .

Amen.
 
Mkuu, umeandika ile iliyo kweli ya dunuia ya leo....

Jamii ibadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…