lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Jamani mtakubaliana nami kuwa Kanumba aliwabeba sana kina Patcho Mwamba na Sengo mpaka wakajulikana kila kona, aliwashirikisha sana. Lakini baada ya kufariki, kina Patcho Mwamba nao wamedumbukia shimoni.