Mbeleni Watanzania kushinikiza Rais Samia aongezewe muda

Mbeleni Watanzania kushinikiza Rais Samia aongezewe muda

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,914
Reaction score
3,386
Baada ya Rais Samia kumaliza kutawala muhula miwili kwa mujibu wa katiba Watanzania tutajitokeza kuandamana kumtaka aendelee na tutashinikiza bunge lifanye mabadiliko Rais Samia aongezewe Muda pengine hadi atakaposema imetosha.

Rais Samia anakuwa Rais wa kwanza kupaisha uchumi na hali za maisha za watanzania tangu tupate uhuru. Rekodi yake ya kipekee haita fikiwa kutokana na akili zake za kipekee.

Rais Samia anakwenda kuwa Anjel Markel wa Afrika na mfano kwa wanawake wote DUNIANI.

Tunzeni huu uzi mtakuja kunishukuru

PIA SOMA
- Hashim Rungwe: Kama tatizo ni muda, Rais Samia aongezewe muda ili tupate Katiba Mpya ndio tufanye Uchaguzi

- Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

- Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

- Mzee Mwinyi: Rais Magufuli aongezewe muda wa miaka 5 zaidi kama shukrani

- Zile kelele za Rais Magufuli aongezewe muda mbona hazipingwi kwa Rais Samia?

- Uchaguzi 2020 - Dkt. Magufuli aongezewe muda wa kutawala

- Rais Magufuli akifanya mambo haya, Watanzania watamlilia wenyewe aongezewe muda wa kutawala
 
Makala ya michezo ya kimkoa [emoji12][emoji12][emoji12] alishindwa kutawala huyu[emoji116][emoji116][emoji116] hiyo mihula
JamiiForums-872030720.jpg


Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Nipo hapa View attachment 2031921
 
Samiah amewapumzisha sio, sasa mnapumua mkaona mumuanzishie sifa
 
Baada ya Rais Samia kumaliza kutawala muhula miwili kwa mujibu wa katiba watanzania tutajitokeza kuandamana kumtaka aendelee na tutashinikiza bunge lifanye mabadiliko Rais Samia atakuwa Rais wa kwanza kupaisha uchumi na hali za maisha za watanzania tangu tupate uhuru. Rekodi take ya kipekee haita nikiwa kutokana na akili zake za kipekee. Rais Samia anakwenda kuwa Anjel Markel wa Afrika na mfano kwa wanawake wote DUNIANI.

Tunzeni huu uzi mtakuja kunishukuru
Si mpaka uwe hai? Au wewe ni immortal?
 
Baada ya Rais Samia kumaliza kutawala muhula miwili kwa mujibu wa katiba watanzania tutajitokeza kuandamana kumtaka aendelee na tutashinikiza bunge lifanye mabadiliko Rais Samia aongezewe Muda pengine hadi atakaposema imetosha.

Rais Samia anakuwa Rais wa kwanza kupaisha uchumi na hali za maisha za watanzania tangu tupate uhuru. Rekodi yake ya kipekee haita fikiwa kutokana na akili zake za kipekee.

Rais Samia anakwenda kuwa Anjel Markel wa Afrika na mfano kwa wanawake wote DUNIANI.

Tunzeni huu uzi mtakuja kunishukuru
Wewe mchurie tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom