Mbeya 17 Dec!! Fifa 16 champion

Mbeya 17 Dec!! Fifa 16 champion

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
Je upo mbeya na unajiamini wewe ni fifa 16 champion,,,,, Jumamosi ya tarehe 17 december itakua ni siku yako kujidhihirisha kuwa wewe ni mbabe....

KUJIUNGA
Kiingilio kitakua 5000 tu na zoezi la uandikishaji litakua kuanzia jumatatu

SEHEMU
kwa sasa tuna sehemu tatu na tunachagua itayokua na jenereta

ZAWADI>>
Mshindi atachukua asilimia 65 ya michango ya washiriki
Mshindi wa tatu atachukua asilimia 35 ya michango



Ni pm ama subiri kesho ntapoweka contacts za uhakika
 
Ha ha ha, nani atahakiki kama hiyo 100% imegawiwa?
 
Back
Top Bottom