Je upo mbeya na unajiamini wewe ni fifa 16 champion,,,,, Jumamosi ya tarehe 17 december itakua ni siku yako kujidhihirisha kuwa wewe ni mbabe....
KUJIUNGA
Kiingilio kitakua 5000 tu na zoezi la uandikishaji litakua kuanzia jumatatu
SEHEMU
kwa sasa tuna sehemu tatu na tunachagua itayokua na jenereta
ZAWADI>>
Mshindi atachukua asilimia 65 ya michango ya washiriki
Mshindi wa tatu atachukua asilimia 35 ya michango
Ni pm ama subiri kesho ntapoweka contacts za uhakika