asa huyo mwanaume na yeye jamani alikosa kabisa maamuzi ya kiume kweli, ai angemfukuza tu huyo mke wakeAisee,hii shida sana
LabdaAu jamaa atakuwa aliishiwa nguvu za kiume?
Yaan mweeSiku hizi habari zinazotrend ni mauaji yanayohusu wivu wa mapenzi na vijana mashoga.....katika jamii zetu siku hizi hakuna mambo mazuri????
Mkiishi mbali mbali, hiyo kitaalam inaitwaje? Long distance marriage? π π πNdoa za siku hizi bora kuishi mbali mbali
Watu wamechanganyikiwa, wanahitaji sababu tu, walipuke π πSiku hizi habari zinazotrend ni mauaji yanayohusu wivu wa mapenzi na vijana mashoga.....katika jamii zetu siku hizi hakuna mambo mazuri????
Oohoo umesahau NDOA NI VITA.KATAA WIZI
KATAA UTAPELI
KATAA NDOA
NAKAZIAOohoo umesahau NDOA NI VITA.
KATAA NDOA.
ubingwa mwanzo mwishodronedrake Liverpool VPN min -me Mzee wa kupambania
Tayari kimeumana huku. Naona mnaongoza 6 bila mpaka sasa π π
yes, yuko mbioni kuchukua kadi ya umemba, yuko vizuriπ π π Huyo Hannah ni usajili mpya kwenye timu yenu au?
mkiambiwa hamsikii, jali afya yako BeesMom
ishi maisha marefu, Tokomeza Ndoa
bila sex nisingekuwepobila ndoa ungekuwepo?
yapo kibao mbona, kama erotic sex chatters za To yeyesiku hizi hakuna mambo mazuri?
Mkiishi mbali mbali, hiyo kitaalam inaitwaje? Long distance marriage? π π π