Mbeya: Amchoma mtoto kwa petroli na kumsababishia majeraha kisa Elfu kumi

Mbeya: Amchoma mtoto kwa petroli na kumsababishia majeraha kisa Elfu kumi

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia Juma Afyusisye (38) dereva Bodaboda mkazi wa iwambi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mwanafunzi wa kiume wa darasa la pili wa shule ya msingi Iwambi mkazi wa Iwambi Jijini Mbeya kwa kumchoma moto

Taarifa iliyotolewa jana November 09, 2024 na kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga imesema "ni kwamba mnamo tarehe 05 November maeneo ya Iwambi Jijini Mbeya Juma Afyusisye(38)dereva Bodaboda mkazi wa Iwambi alimpatia fedha kiasi cha Tsh 10000, mhanga (mtoto wa jiranii yake) na kumuagiza aende dukanii kumnunulia maandaz ya Tsh 5000 lakini mhanga alitumia fedha yote kwa matumizi yake binafsi"

Mhanga baada ya kurudi na kuonekanaa hana pesa ndipo mtuhumiwa Juma Afyusisye alijichukulia sheria mkononi kwa kummwagia mafua ya petrol kwenye shati alilolivaa nakisha kuwasha kiberiti na kumsababishia majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake, Mhanga amelazwa Hospitali Teule ya Ifisi katika mji mdogo wa Mbalizi aki endelea kupatiwa matibabu"

Soma pia: Mbeya: Mtoto wa miaka 8 achomwa moto na jirani kisa kupoteza sh 200
 
Hilo tu jina JUMA kaa nalo mbali kabisa

Kuna baadhi ya majina ukisikia tu inabidi ujiongoze
 
MENTAL ILLNESS

Hili ni tatizo kubwa sana kwa waTanzania wengi.

Mamlaka zinazohusika zishughulikie hili.
 
Back
Top Bottom