The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Elimu ya uzazi wa mpango ni muhimuAchana na kipigo. Kumzalisha mwanamke watoto 9 ni unyanyasaji mkubwa sana.
Duhh,45 ndio age yakukazwa sana
NdiyooWatoto 9???
Hi sasa ndoa ya familia...Mama mwenye watoto tisa, Bi.Honga Shija (45) mkazi wa Kijiji cha Majengo Kata ya Upendo Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake kwa kupigwa na watu wanne, mume wake na mashemeji zake kisa wivu wa mapenzi.
Akizungumza kwa njia ya simu Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mbeya, ACP Wilbert Siwa amesema jeshi hilo bado halijapokea taarifa.
Soma pia: Njombe: Mume amuua mke wake kwa madai ya kuchepuka kwenye ndoa yao
View attachment 3156992
Chanzo: ITV
Upwiru wa Menopause usikie tu Mkuu🤣45 ndio age yakukazwa sana