Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mpo salama!
Wengine tunajadili na kuyaona mambo kwa Jinsi yanavyoonekana na Wala sio ushabiki.
Hakuna asiyejua nguvu ya Mbeya, Mara na Arusha kwenye chama cha CHADEMA.
Mikoa hiyo ndio ngome kuu ya CHADEMA.
Unapokataliwa kwenye ngome yako alafu ukang'ang'ania kutawala ni kujaribu kujiangusha na kuhujumu Chama chako.
Sasa kama Mbeya, Mara na Arusha zilizo ngome za CHADEMA zimemkataa Mbowe unafikiri kuna CHADEMA tena hapo ikiwa Mbowe Atapita!
Waliomshauri Mbowe aendelee kutetea kiti chake wamemhujumu pakubwa Sana Mbowe. Ni Nina uhakika ni maadui zake wa Siri ambao kwa Nje HUJIFANYA marafiki.
1. Wameharibu heshima(reputation) yote ya Mbowe ndani ya Muda mfupi.
2. Wameua Sifa yake Njema na sasa anasifa mpya ambayo ndio itamtambulisha daima, majina kama Mugabe, Nkurunzinza, Ayatollah, Museven n.k. ndio AKA yake tangu uchaguzi huu Mpaka maisha yake yote
3. Hatari ya CHADEMA kuanguka, na nguvu zote za Miaka 30 alizotumia ni sawasawa na Bure tuu.
Narudia, kifalsafa waliomshauri Mbowe aendelee kugombea uenyekiti wake kwa kisingizio kuwa Katiba inaruhusu ni ADUI zake na MBOWE.
Tunasubiri