DuuuuhWanaoikwamisha Mbeya ni watu wa Mbeya ni Aibu Arusha, Mwanza, Tanga na Dodoma kuwa vizuri kuliko Mbeya.
Mji unaendelea kukaa hovyo slum za kutosha, kila sehemu machinga, Bara bara chache, miundo mbinu bado ila migomo namba 1
Huu mji umekaa kwenye location nzuri sana ila watu wake wanaukwamisha.
watu wake wanaukwamishane?Wanaoikwamisha Mbeya ni watu wa Mbeya ni Aibu Arusha, Mwanza, Tanga na Dodoma kuwa vizuri kuliko Mbeya.
Mji unaendelea kukaa hovyo slum za kutosha, kila sehemu machinga, Bara bara chache, miundo mbinu bado ila migomo namba 1
Huu mji umekaa kwenye location nzuri sana ila watu wake wanaukwamisha.
Mbona kariakoo machinga kibao na barabara zinajengwa?,watu wanalipa kodi ,barabari mbovu? Haya wana kwamishaje?,si Kuna mbunge wao kwamba haoni? Au unataka wajenge wananchi na kodi wanalipa?Wanaoikwamisha Mbeya ni watu wa Mbeya ni Aibu Arusha, Mwanza, Tanga na Dodoma kuwa vizuri kuliko Mbeya.
Mji unaendelea kukaa hovyo slum za kutosha, kila sehemu machinga, Bara bara chache, miundo mbinu bado ila migomo namba 1
Huu mji umekaa kwenye location nzuri sana ila watu wake wanaukwamisha.
Ukija na mpango wa kuboresha mji lazima uwe na mabomu ya machozi watu wabishi kama niniwatu wake wanaukwamishane?
Bila ubishi wenu ambao dawa yake ni mabomu ya machozi na maji ya pilipili Mbeya ingekuwa kama SwitzerlandMbona kariakoo machinga kibao na barabara zinajengwa?,watu wanalipa kodi ,barabari mbovu? Haya wana kwamishaje?,si Kuna mbunge wao kwamba haoni? Au unataka wajenge wananchi na kodi wanalipa?
Hiyo mbeya ilikuwa na kitu kinaitwa Mbeya Urban Renewal Plan ambayo ilikuwa na lengo la kuboresha makazi duni, kujenga vituo vikubwa vya biashara, kuweka zone za mahoteli na kuboresha bara bara Mtihani ni kuwa hamko tayari kutoka maeneo ambayo ndio muhimu kwa ajili ya Urbanization sasa sijui mnafurahia mji kuwa na hali hiyo au laa, Tuambieni wanyakyusaBila mgomo hiyo halmashauri isingefanya chochote ingeendelea kusinzia
πππ€ Uka summarize kabisa kuwa Mimi ni mnyakyusaHiyo mbeya ilikuwa na kitu kinaitwa Mbeya Urban Renewal Plan ambayo ilikuwa na lengo la kuboresha makazi duni, kujenga vituo vikubwa vya biashara, kuweka zone za mahoteli na kuboresha bara bara Mtihani ni kuwa hamko tayari kutoka maeneo ambayo ndio muhimu kwa ajili ya Urbanization sasa sijui mnafurahia mji kuwa na hali hiyo au laa, Tuambieni wanyakyusa
HahahahahagaHiyo mbeya ilikuwa na kitu kinaitwa Mbeya Urban Renewal Plan ambayo ilikuwa na lengo la kuboresha makazi duni, kujenga vituo vikubwa vya biashara, kuweka zone za mahoteli na kuboresha bara bara Mtihani ni kuwa hamko tayari kutoka maeneo ambayo ndio muhimu kwa ajili ya Urbanization sasa sijui mnafurahia mji kuwa na hali hiyo au laa, Tuambieni wanyakyusa
Hakuna mtu anyekwamisha mji hata siku Moja maana watu wanataka maendeleo na miundombinu mizuri..... serikali ndiyo ya kulaumiwa hapo mm siyo mkazi wa mbeya ila matatizo ya nchii hii ynafanana kila sehemu wakulaumiwa ni serikali tuWanaoikwamisha Mbeya ni watu wa Mbeya ni Aibu Arusha, Mwanza, Tanga na Dodoma kuwa vizuri kuliko Mbeya.
Mji unaendelea kukaa hovyo slum za kutosha, kila sehemu machinga, Bara bara chache, miundo mbinu bado ila migomo namba 1
Huu mji umekaa kwenye location nzuri sana ila watu wake wanaukwamisha.
Arusha ipi iko vizuri kwenye stand ya dala dala hii ya Kilombero ambayo mvua ikinyesha hakuna dala dala inaingia kubeba abiria ndani au umetoa mfano tu kuwa Arusha ipo bomba wakati yapo maeneo sio salama kwa binadamu tena mjini kabisaa..Wanaoikwamisha Mbeya ni watu wa Mbeya ni Aibu Arusha, Mwanza, Tanga na Dodoma kuwa vizuri kuliko Mbeya.
Mji unaendelea kukaa hovyo slum za kutosha, kila sehemu machinga, Bara bara chache, miundo mbinu bado ila migomo namba 1
Huu mji umekaa kwenye location nzuri sana ila watu wake wanaukwamisha.
Kuna sehemu unafeli sana,hebu thibitisha ninubishi gani? Na unahusiana nini na wajibu wa viongozi ktk kutekeleza majukumu yao.Bila ubishi wenu ambao dawa yake ni mabomu ya machozi na maji ya pilipili Mbeya ingekuwa kama Switzerland