Mbeya bingwa Taifa cup

Mbeya bingwa Taifa cup

Gaudance mwaikimba dk 3 kabla ya mpira kwisha ameizamisha mwanza.
 
kazamisha?sijakuelewa kiongozi kazamisha nini?
Mwaikimba ameipatia Mbeya goli la ushindi zikiwa zime baki dakika 3.... Hivyo mbeya bingwa Kilimanjaro Taifa cup 2011/12
 
Bora jembe langu lirudi kweye fomu, walimuandama sana kipindi kile ilhali timu nzima ilikuwa mbovu.
 
Bao la Mkono na lilikuwa wazi kabisa. Mfungaji alikuwa na faulo mbili kabla
 
Huree MBY! mwanza rudisheni PAMBA kwanza ndo mtainuka hahahahaha
 
Hongera BANYAMBALA ingawa kwa bahati yenu mbaya wengi wa wabunge wenu si wanamichezo!!
 
Back
Top Bottom