kipindupindu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 1,053
- 170
Gaudance mwaikimba dk 3 kabla ya mpira kwisha ameizamisha mwanza.
Mwaikimba ameipatia Mbeya goli la ushindi zikiwa zime baki dakika 3.... Hivyo mbeya bingwa Kilimanjaro Taifa cup 2011/12kazamisha?sijakuelewa kiongozi kazamisha nini?
Bao la Mkono na lilikuwa wazi kabisa. Mfungaji alikuwa na faulo mbili kabla
kazamisha?sijakuelewa kiongozi kazamisha nini?
TENGA alikuwa mbunifu sana.Haya Mashindano yarudishwe!