LGE2024 Mbeya: CHADEMA yatoa Mafunzo kwa Wagombea wake wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa ya sasa kutokea Jijini Mbeya, kwamba Wagombea wote wa Chama hicho wa Jimbo la Mbeya Mjini wanafanyiwa semina elekezi kuelekea kwenye Uchaguzi huo.

Bali hatutatoa siri ya kinachofundishwa ndani ya Ukumbi, Lakini Mafunzo hayo yanasimamiwa na Rais wa Eneo hilo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Nyasa, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi

Hii hapa ni habari kwa Ufupi



Ujumbe: Watake Wasitake
 
Sugu hakuwapa hata maji ya kunywa
 
Humo humo ukumbini kuna watoa siri, wameingia na vinasa sauti
 
Leo ndio nimeamini Mbeya imekombolewa
 
toka lini mwanafunzi akawa na chaki? ccm tuache ujinga kufata kula maeneo kama hayo na posho ...zingatia utaifa
Ni sawa kwa Sugu kunywa maji lakini wajumbe kukosa maji ni kufuata kula?What a Dundee United.
 
toka lini mwanafunzi akawa na chaki? ccm tuache ujinga kufata kula maeneo kama hayo na posho ...zingatia utaifa
Erythrocyte mnaona hivi vitu ni vidogo ila vina maana kubwa. Mwaka 2010 nilipogombea nilitoa Chakula (take away) kwa mawakala wangu. Mpinzani wangu akatoa 10,000 kwa kila Wakala wangu na kuwaamrisha waondoke. Wakapokea na kuishia. Nikapigwa kitu Kizito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…