Mbeya City FC yaendeshwa kisiasa

Mbeya City FC yaendeshwa kisiasa

mama isidingo

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
36
Reaction score
3
Wadau ni kwamba timu ya Mbeya city inazidi kupotea katika ulimwengu wa soka baada ya wanasiasa kuingilia kati na kufanya kuwa chanzo chao cha pesa(maslahi binafsi) kuliko ya timu.

Kama ijulikanavyo timu hii inamilikiwa na halimashauri ya jiji la Mbeya, ambayo mpaka inapanda daraja halimashauri hiyo ilikuwa chini ya CCM na kwa sasa halimashauri ipo chini ya Chadema.

Kwa nyakati zote, siasa zimekuwa kubwa sana kuliko kusudio la kuanzishwa kwa timu hiyo. Hata Sugu aliposhinda alisema anataka iwe chanzo cha mapato ila hakuongelea ni jinsi gani atafanya timu kuwa ya ushindani wala hakuwa na mikakati yeyote zaidi ya kuona kwamba ni chanzo cha mapato!

Tujadili kuhakikisha tunaiokoa timu hii ambayo ilianza kuwa timu pinzani Tanzania ila leo hii inashinda nafasi ya kumi na moja ni aibu kubwa sana..
 
Kwani Mbeya City ilianzishwa chini ya mkurugenzi nani??hebu tuanzie hapo mkuu
 
Hata tukimjua mkurugenzi si dhani kama itasaidia,jambo la muhimu tufikili jinsi gani tutaondoa siasa ili kuinusulu timu yetu na soka kwa ujumla.
 
Huwezi tatua mgogoro bila kujua historia ya team....by the way sijaelekeza swali kwako bali kwa mwenye thread...
 
Wadau ni kwamba timu ya Mbeya city inazidi kupotea katika ulimwengu wa soka baada ya wanasiasa kuingilia kati na kufanya kuwa chanzo chao cha pesa(maslahi binafsi) kuliko ya timu.

Kama ijulikanavyo timu hii inamilikiwa na halimashauri ya jiji la Mbeya, ambayo mpaka inapanda daraja halimashauri hiyo ilikuwa chini ya CCM na kwa sasa halimashauri ipo chini ya Chadema.

Kwa nyakati zote, siasa zimekuwa kubwa sana kuliko kusudio la kuanzishwa kwa timu hiyo. Hata Sugu aliposhinda alisema anataka iwe chanzo cha mapato ila hakuongelea ni jinsi gani atafanya timu kuwa ya ushindani wala hakuwa na mikakati yeyote zaidi ya kuona kwamba ni chanzo cha mapato!

Tujadili kuhakikisha tunaiokoa timu hii ambayo ilianza kuwa timu pinzani Tanzania ila leo hii inashinda nafasi ya kumi na moja ni aibu kubwa sana..

mbeya city imeanza kushuka ccm ikiwa inaongoza halmashauri! cdm wamechukua juzi tu halmashauri hata hawajaanza kukabidhiwa mafile na ccm

kuhusu sugu, ulitaka aseme kila kitu kuhusu timu kuwa chanzo cha mapati! alitoa hints tu kama unahitaji plan nzima kamfuate ofsin kwake au kawaone viongozi.

post yako inamuinekano wa kutaka kuilaumu cdm kwa kuwa ndo inaongoza halmashauri!
 
Hawa jamaa walichemsha sana baada ya kuanza kusajili wachezaji kutoka Simba (Nyoso,Boban,Kaseja) hawatoi tena nafasi kwa wachezaji chipukizi toka Mbeya
 
walijiona nao wamekuwa wakaanza kupambana na yanga
 
mbeya city imeanza kushuka ccm ikiwa inaongoza halmashauri! cdm wamechukua juzi tu halmashauri hata hawajaanza kukabidhiwa mafile na ccm

kuhusu sugu, ulitaka aseme kila kitu kuhusu timu kuwa chanzo cha mapati! alitoa hints tu kama unahitaji plan nzima kamfuate ofsin kwake au kawaone viongozi.

post yako inamuinekano wa kutaka kuilaumu cdm kwa kuwa ndo inaongoza halmashauri!

Wewe tena unaleta siasa wakati tunataka kufanya timu iwe ya kishindani unaleta uchadema na uccm ujue timu ilikuwa nzuri sana siasa ndio zimeharibu timu na inaweza kushuka daraja
 
Back
Top Bottom