mama isidingo
Member
- Feb 3, 2014
- 36
- 3
Wadau ni kwamba timu ya Mbeya city inazidi kupotea katika ulimwengu wa soka baada ya wanasiasa kuingilia kati na kufanya kuwa chanzo chao cha pesa(maslahi binafsi) kuliko ya timu.
Kama ijulikanavyo timu hii inamilikiwa na halimashauri ya jiji la Mbeya, ambayo mpaka inapanda daraja halimashauri hiyo ilikuwa chini ya CCM na kwa sasa halimashauri ipo chini ya Chadema.
Kwa nyakati zote, siasa zimekuwa kubwa sana kuliko kusudio la kuanzishwa kwa timu hiyo. Hata Sugu aliposhinda alisema anataka iwe chanzo cha mapato ila hakuongelea ni jinsi gani atafanya timu kuwa ya ushindani wala hakuwa na mikakati yeyote zaidi ya kuona kwamba ni chanzo cha mapato!
Tujadili kuhakikisha tunaiokoa timu hii ambayo ilianza kuwa timu pinzani Tanzania ila leo hii inashinda nafasi ya kumi na moja ni aibu kubwa sana..