Mbeya City vs Simba live

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Mechi imeshaanza kati ya mbeya city Vs Simba Sport Club
Mpira unachezwa Mbeya .

Updates

Mbeya city 0- 1 Simba
Dk 5'
Bocco[emoji460]️


Updates
Mpira ni mapunziko

Mbeya city 0- 1 Simba

Updates

Mbeya city 0 - 2 Simba
Dk 54'
Bocco [emoji460]️


FULL TIME
MBEYA CITY 0 - 2 SIMBA
 
Haina mvuto tena hakuna mshindani,sasa sisi tungefanyaje wao wenyewe wanavutana mashati huko nyuma
Mechi imeisha, bingwa anasubiri mechi ijayo ajitwishe ndoo
 
Haina mvuto tena hakuna mshindani,sasa sisi tungefanyaje wao wenyewe wanavutana mashati huko nyuma
Acha wale kipigo chao huku wakiwaza maisha mapya ya ligi daraja la kwanza
 
Ngoja nisubiri mechi ya maana jioni,nisipoteze muda kwa huu utumbo wa club ya wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…