OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
mzee wezi wa siku hizi ni master of disguising and deceiption -ukarimu ni moja ya dhana zao kabla hawajakutenda.wezi makovu wamepitwa na wakt yakhe!Mi nadhani ni jambo la bahati mbaya tu, mi nimekuwa nikilala hapo haijawahi kutokea, wahudumu wake ni wakarimu na ina full ulinzi. Kwa mazingira ya hotel zote za kisasa hawaweki grill za nondo na vyuma hata ukienda kilimanjaro hotel. Uwe na amani, usitembee na fedha nyingi.
thanks mkuu, i compliment, itabidi ukilala ufiche kamera somewhere, na surualini uweke mifugo feki!!!
mkuu huna busara kabisa,kama wewe hujaibiwa shukuru Mungu,siyo unatetea upuuzi wakati wengine wamedhurikaHuo ni uzushi wa hali ya juu,mimi binafsi nilikuwa mby mwezi uliopita na nilifikia hapo mbeya golden city hotel ni hotel nzuri na ya kisasa kabisa na huduma zake ni nzuri sana,ishu ya wewe kuibiwa si sababu ya kuiponda hotel,hata kilimanjaro hotel watu wanaibiwa sembuse mby golden city?,muhimu ni wewe mwenyewe kuwa makini na mali (fedha) ulizonazo,kumbuka adam malima alilala kwenye hotel ya kifahari kabisa pale morogoro akiwa na siraha za moto kama smg lkn bado wezi walimwibia sembuse wewe ambaye hata panga hukuwa nalo?, nadhani kutokana na ushindani mkubwa wa hotel uliopo mby yawezekana ukawa unatumiwa uli kuharibu brand ya hotel hiyo. Mimi nawashauri kwa wanaokwenda mby wasiogope kwenda mby golden city hotel ni mahali pazuri na salama
tukumbushane ipo sehemu gan
Da hivi wana JF mtu huwezi kwenda kulala kituo cha polisi maana hawa ndio walinzi wa raia na mali zao,i believe ukulala hapo utakuwa safe side
unaweza kabisa, ila kumbuka huko polisi kuingia bure kutoka ni lazima mkwanja.
you mean something hereNapafahamu vizuri sana hapo ila nashangaa ni kahoteli kazuri lakini wanashindwa kukaendesha au kwasababu mwenye nayo alishafikisha miaka10 akatangulia mbele za haki??
Da hivi wana JF mtu huwezi kwenda kulala kituo cha polisi maana hawa ndio walinzi wa raia na mali zao,i believe ukulala hapo utakuwa safe side
Mosi wewe ni mwongo, Kwa hali ya hewa ya MBY huitaji kiyoyozi, pia jengo la hoteli tajwa nl la Gorofa. Acha kuhara]ibo Biashara za watu umetumwa wewe.
Huo ni uzushi wa hali ya juu,mimi binafsi nilikuwa mby mwezi uliopita na nilifikia hapo mbeya golden city hotel ni hotel nzuri na ya kisasa kabisa na huduma zake ni nzuri sana,ishu ya wewe kuibiwa si sababu ya kuiponda hotel,hata kilimanjaro hotel watu wanaibiwa sembuse mby golden city?,muhimu ni wewe mwenyewe kuwa makini na mali (fedha) ulizonazo,kumbuka adam malima alilala kwenye hotel ya kifahari kabisa pale morogoro akiwa na siraha za moto kama smg lkn bado wezi walimwibia sembuse wewe ambaye hata panga hukuwa nalo?, nadhani kutokana na ushindani mkubwa wa hotel uliopo mby yawezekana ukawa unatumiwa uli kuharibu brand ya hotel hiyo. Mimi nawashauri kwa wanaokwenda mby wasiogope kwenda mby golden city hotel ni mahali pazuri na salama
nobody will shape this nation But ourselves. It starts by saying NO to shoddy services and boycotting Non-performers. We have enough evidence & testimony here to conclude that the above mentioned hotel is NO PLACE TO STAY, unless they make drastic changes.