Mbeya: Karani wa Sensa aingia Mitini baada ya kulipwa 600,000

Mbeya: Karani wa Sensa aingia Mitini baada ya kulipwa 600,000

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Karani wa Sensa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya LUtengano Mwakibambo kwa tuhuma za kutofika kwenye kituo cha kazi alichopangiwa kwa kusingizia kuwa anaumwa.

Mtuhumiwa baada ya kulipwa Tsh. 600,000 kama malipo ya awali alitoweka lakini August 21, 2022 baada ya kusikia malipo ya awamu ya pili yanatolewa alirudi tena kwa ajili ya kusaini fedha hizo na ndipo akakamatwa na sasa anaendelea kuhojiwa ambapo upelelezi ukikamilika hatua nyingine za kisheria zitafuata.

Millard Ayo
 
Ugeni wa hela
Vipesa vinawazuzua

Ova
 
Watanzania wengi ni wezi wanapenda ujanja janja.
Sheria za kunyonga zirudi.

Inahitajika mtu kichaa kuendesha watanzania
Hizi huruma huruma zinatucheleweshea maendeleo.
 
hawa ndio wale walipewa nafasi hizi kwa sabb ni wana uvccm
 
Back
Top Bottom