A Anonymous Guest May 7, 2026 #1 Sisi wakazi wa Mbeya kata ya Forest ya zamani tuna siku ya4 maji yamekatika na hakuna taarifa yeyote ile kutoka mamlaka husika tulikua tunaomba mamlaka ishughulikie mapema Suala hili.
Sisi wakazi wa Mbeya kata ya Forest ya zamani tuna siku ya4 maji yamekatika na hakuna taarifa yeyote ile kutoka mamlaka husika tulikua tunaomba mamlaka ishughulikie mapema Suala hili.