Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 274
- 254
Kama wewe ni mpenzi wa timu hii ya Mbeya iliyopanda daraja msimu huu karibu tujadili mambo gani muhimu yanatakiwa ili timu hii isishuke daraja.Katika maandalizi ya kuelekea ligi kuu timu hii imechukua kombe liloanzishwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya baada ya kuifunga timu ya Ihefu fc.