maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Wakuu mi ni mshabiki wa mpira wa wastani kwa hiyo kuna baadhi ya mambo huwa yananipita,kuna siku nimeshangaa naangalia mechi naona timu inaitwa Mbeya kwanza,na wakati huohuo Mbeya city siisikii msimu huu. Ndio hiyohiyo wamebadili jina au ni timu nyingine?