Mbeya kwanza ndio Mbeya city?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Wakuu mi ni mshabiki wa mpira wa wastani kwa hiyo kuna baadhi ya mambo huwa yananipita,kuna siku nimeshangaa naangalia mechi naona timu inaitwa Mbeya kwanza,na wakati huohuo Mbeya city siisikii msimu huu. Ndio hiyohiyo wamebadili jina au ni timu nyingine?
 
Ni timu mbili tofauti Mbeya kwanza ni mara ya kwanza kushiriki ligi kuu.
 
Ni timu mbili tofauti Mbeya kwanza ni mara ya kwanza kushiriki ligi kuu.
Asante mkuu, Mbeya City walishuka daraja au nao wamo..sijawasikia
 
Mbeya city na mbeya kwanza ni timu mbili tofauti mbeya city ni timu ya jiji la mbeya na mbeya kwanza sina uhakika ila nadhani ni ya wananchi makao yao makuu ni iyunga
 
Mbeya city na mbeya kwanza ni timu mbili tofauti mbeya city ni timu ya jiji la mbeya na mbeya kwanza sina uhakika ila nadhani ni ya wananchi makao yao makuu ni iyunga
Asante sana wa kumwitu..... ntakununulia chikanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…