Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Kila la heri watia nia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi sikumchagua SUGU 2015 pia mwaka huu sitamchagua tenaKwani si mlipanga foleni mkamchagua ndugu Sugu? Endeleeni kufanya majaribio ya future ya watoto na vijukuu !
Brother Mbeya kabla ya Sugu kuwa mbunge mlikuwa na maendeleo gani na hao wasomi feki wako?Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka SI maendeleo. Kila la heri watia nia
Na akapata kura nyingi kuliko mbunge yeyote nchi nzima.Binafsi sikumchagua SUGU 2015
Swali Ni kuwa Sugu ameleta maendeleo gani?Brother Mbeya kabla ya Sugu kuwa mbunge mlikuwa na maendeleo gani na hao wasomi feki wako?
Karibu.
na atashinda tenaBinafsi sikumchagua SUGU 2015 pia mwaka huu sitamchagua tena
Mhemko wa 2015 ulimgharimu hata Mzee wetu Mwanri. Ila tusirudie makosaMihemko ya Lowassa ilisaidia watu wengi, Sugu akiwa mmoja wapo; Leo hakuna mihemko , suala ni ufahamu wa mtu na jinsi anavyo weza kujitoa.
Naona umejigeuza Msimamizi wa uchaguzi ghafla. Jiandae kisaikolojiana atashinda tena
Mnataka mbunge atakae kuwa tayari kuwapigania au ambae atafanya mtembee kifua mbele kutokana na usomi wake?Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupaMnataka mbunge atakae kuwa tayari kuwapigania au ambae atafanya mtembezea kifua mbele kutokana na usomi wake?
Amandla......
Sawa Tulia Ackson tumekusikia na kura hatukupiKwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Naunga mkonoKwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.