Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Mnataka mbunge atakae kuwa tayari kuwapigania au ambae atafanya mtembee kifua mbele kutokana na usomi wake?

Amandla......
 
Mnataka mbunge atakae kuwa tayari kuwapigania au ambae atafanya mtembezea kifua mbele kutokana na usomi wake?

Amandla......
Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Sawa Tulia Ackson tumekusikia na kura hatukupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…