Mbeya: Mechi kati ya Prisons na Mbao FC iliyokuwa ichezwe leo saa 2:00 asubuhi sasa kuchezwa saa 10:00 jioni

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini hapo, mechi kati ya Tanzania Prisons na Mbao FC iliyoahirishwa jana na kupangwa kucheza leo saa 8:00 asubuhi imesongezwa mbele hadi saa 10:00 jioni

Kusongezwa mbele kwa muda wa mechi hiyo kunafuatia kuendelea kunyesha kwa mvua na kusababisha maji kutuama uwanjani

Kabla ya mechi kati ya Tanzania Prisons na Mbao FC kutakuwa na mechi kati ya Mbeya City na Mwadui FC ambayo itachezwa saa nane kamili mchana

Mechi zote hizi zinachezwa katika dimba hilo la Sokoine


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…