Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wanabodi,
Hivi CCM wanaposema wameleta maendeleo huwa wanaamanisha nini? Huyu mgombea wa CHADEMA kaonesha kabisa kuwa kuna ubovu mkubwawa barabara huko eneo la Mashujaa mjini Mbeya.
Hawa CCM wanaposema wanaleta maendeleo ni maendeleo gani huwa wanasema wameleta?
===================================================
Mgombe wa nafasi ya uenyekiti mtaa wa mashujaa kata ya Kivavi Halmashauri ya mji Makambako,kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tropikana Mgaya amesema kama atashinda katika nafasi hiyo atahakikisha anapambana na changamoto ya miundombinu ya barabara inayowakabili wananchi wa mtaa huo.
Tropikana Mgaya ameyasema hayo katika mkutano wa kampeni kwenye mtaa huo wa Mashujaa ambapo alinukuliwa akisema:
"Tangu nahamia Mashujaa ni ile ile. Hakuna kilichobadilika. Barabara mpaka sasa hivi unakuwa na mgeni ametoka mjini unamuelekeza bwana njoo mashujaa haieleweki. Hakuna barabara ya kuingilia mashujaa"
Soma pia: Mbeya: CHADEMA yatishia kususia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa