Mbeya: Mjadala wa wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya

Mbeya: Mjadala wa wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya

Abdul Said Naumanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
673
Reaction score
1,318
Karibu kufatilia Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, mjadala huu umeandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS).

RECORDED 📺 (22/06/2024 - Dodoma)👇🏼​

 
Naunga mkono HOJA 🙏

Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi ni sasa kabla ya Uchaguzi wowote.
 
Karibu kufatilia muendelezo wa wiki ya pili ya Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, ulioandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS) jijini Arusha.

Kwa ambao hawakufatilia wiki iliyopita, unaweza kufatilia kupitia Thread 'TLS waendesha Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania'


View: https://www.youtube.com/live/Sikr1LNTN1k?si=fOiZgWnFHVWcuQcX

Wameamua kuruhusu mjadala badala ya kuandika katiba mpya!

Dola ilisema inataka Bungee la katiba na katiba mpya ipatikane kabla ya uchaguzi was serikali za mitaa 2024,Sasa wameamua kubagaza mchakato kwa mijadala ya nje badala ya mijadala active yenye uandishi ndani yake!!!

Wanataka uchaguzi ufanyike 2025 Kwa katiba ya zamani kinyume na MATAKWA ya dola!!

DOLA MSIKUBALI HUO UPUUZI!!!

Nasubiri kuyaona makali!
 
Correct, ya Jaji Warioba mpaka rasimu ilitengenezwa, lakini wapi.​
Mwaka wa kumi huu nadhani au zaidi.
Hata miaka mia moja inaweza kufika bila Katiba Mpya kupatikana.


"The right cannot be given as a gift by the oppressor, it must be demanded by the oppressed."

By Martin Luther King Jr.

BTW:: Uzoefu duniani kote unaonyesha kwamba upatikanaji wa Katiba ya nchi iliyotokana na fikra na mawazo ya wananchi wengi zaidi halijawahi kuwa jambo rahisi rahisi bila ya Watu kwenye nchi husika kupigana makonde.
 
Karibu kufatilia Mjadala wa Wazi kuhusu Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania, mjadala huu umeandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS).

LIVE📺 (Leo - Mbeya)

View: https://www.youtube.com/live/fqOGxn14Xco?si=XbWbJs7ZLVrzrxHV

RECORDED🎥 (01/06/2024- Arusha)

View: https://www.youtube.com/live/Sikr1LNTN1k?si=fOiZgWnFHVWcuQcX

RECORDED🎥 (25/05/2024- Mwanza)

View: https://www.youtube.com/live/kSlv0ecmAno?si=Mr8fMYafPDCnblhy

Pia unaweza kufatilia Thread 'TLS waendesha Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania'

Hongereni Tls
Nyie ndo kundi muhimu Sana kwenye hili kuliko wanasiasa

Hii mijadala iwe non stop mpaka katiba mpya
 
Back
Top Bottom