johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Utakuwa ni mpambano wa watu wawili tofauti kabisa.... Niishie hapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa nadhani wajelajela itakuwa OUT!"Adhaniaye amesimama, aangalie asianguke!"
Hicho siyo kisingizio, Augustino Lyatonga Mrema akiwa Nccr mageuzi alishinda katika uchaguzi mgumu kuliko ule wa Kinondoni!Kitu pekee kitakachoweza kumpa ushindi tulia kwa jimbo la mbeya mjini ni jeshi la polisi kuingilia mchakato wa uchaguzi kama walivyofanya kinondoni
Basi Tulia atawashangaza!Mbeya ipo hivi.
1. Msafwa kumpa kura mnyakyusa ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa
2. Mbeya imejaa wakinga. wafanya biashara wakubwa pamoja na machinga 90% ni wakinga
3. Wafanyabiashara ndogo ndogo ni wengi sana kwa mbeya kuliko hata wanyakyusa wanaoishi mbeya mjini
4. Wafanyabiashara wa Mbeya wakuwa wana ushawishi sana ingawa ukiwaona kwa nje unaweza dhani ni watu waliopooza sana
5. Sugu ni mkinga jina la Mbilinyi ndo linalombeba sana
Kwa hii comment yako unamaanisha ccm ilishinda kihalali kabisa kinondoni?Hicho siyo kisingizio, Augustino Lyatonga Mrema akiwa Nccr mageuzi alishinda katika uchaguzi mgumu kuliko ule wa Kinondoni!
Namaanisha Mrema alishinda kihahali kule Temeke!Kwa hii comment yako unamaanisha ccm ilishinda kihalali kabisa kinondoni?
Wewe wasema!Tulia akigombea Mbeya mjini itakuwa ni kujutakia kudharirika.
Kitu pekee kitakachoweza kumpa ushindi tulia kwa jimbo la mbeya mjini ni jeshi la polisi kuingilia mchakato wa uchaguzi kama walivyofanya kinondoni
Rungwe atagombea Kasesela!Tulia namuonea huruma mby mjini labda rungwe huko anaweza kuambulia...
Mbeya cyo Dodoma!Hahahaa nadhani wajelajela itakuwa OUT!
Mmmmh, hiyo ndo lumumbabuku7!Hicho siyo kisingizio, Augustino Lyatonga Mrema akiwa Nccr mageuzi alishinda katika uchaguzi mgumu kuliko ule wa Kinondoni!
Mbeya ipo hivi.
1. Msafwa kumpa kura mnyakyusa ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa
2. Mbeya imejaa wakinga. wafanya biashara wakubwa pamoja na machinga 90% ni wakinga
3. Wafanyabiashara ndogo ndogo ni wengi sana kwa mbeya kuliko hata wanyakyusa wanaoishi mbeya mjini
4. Wafanyabiashara wa Mbeya wakuwa wana ushawishi sana ingawa ukiwaona kwa nje unaweza dhani ni watu waliopooza sana
5. Sugu ni mkinga jina la Mbilinyi ndo linalombeba sana
Atashangaa yy na boss wakeBasi Tulia atawashangaza!